MABONDIA Floyd Mayweather Jnr na Manny Pacquiao hatimaye wanaweza kuzipiga mwakani katika pambano kubwa zaidi la ndondi kuwahi kutokea.
Mkuu wa Top Rank, Bob Arum, ambaye anampromoti nyota wa Ufilipino, amesema atahakikisha pambano hilo linalosubiriwa kwa muda mrefu linafanyika na ataanza mchakato huo baada ya pambano dhidi ya Brandon Rios huko Macau mwishoni mwa wiki hii.
Gharama za pambano hilo zinatarajiwa kuwa dola za KImarekani Milioni 300
Ametulia tuli: Floyd Mayweather yuko mapumzikoni baada ya kushinda kwa kishindo mapambano mawili mwaka huu
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/article-2511333/Floyd-Mayweather-fight-Manny-Pacquiao-year-says-Bob-Arum.html#ixzz2lLupbd49
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
0 comments:
Post a Comment