// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); STARS UWANJA WA NDEGE TAYARI KWA SAFARI YA NAIROBI KUPITIA KIGALI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE STARS UWANJA WA NDEGE TAYARI KWA SAFARI YA NAIROBI KUPITIA KIGALI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, November 25, 2013

    STARS UWANJA WA NDEGE TAYARI KWA SAFARI YA NAIROBI KUPITIA KIGALI

    Wahezaji wa timu ya soka ya taifa ya Bara, Kilimanjaro Stars wakiwa kwenye foleni ya kuingia ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jioni hii tayari kwa safari ya Nairobi, Kenya kupitia Kigaali, Rwanda ambako wanakwenda kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge inayotarajiwa kuanza kesho kutwa nchini humo.   

    Wanamuziki? Salum Abubakar 'Sure Boy' kushoto na Mrisho Ngassa 'Uncle'

    Toa kila kitu; Haroun Chanongo akikaguliwa

    Wachezaji wakiingia JNIA

    Kaka Mkuu; Athumani Iddi 'Chui' akishuka kwenye basi baada ya kufika JNIA 

    Hassan Dilunga

    Haroun Chanongo

    Mrisho Ngassa

    Ivo Mapunda

    Frank Domayo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STARS UWANJA WA NDEGE TAYARI KWA SAFARI YA NAIROBI KUPITIA KIGALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top