// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SPURS YASHINDA ULAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SPURS YASHINDA ULAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, November 29, 2013

    SPURS YASHINDA ULAYA



    TOTTENHAM Hotspur jana imepoza machungu ya kipigo cha 6-0 kutoka kwa Manchester City baada ya kupata ushindi muhimu ugenini kwa kuifunga mabao 2-0 Tromso kwenye Uwanja wa Alfheim jana katika mchezo wa Europa League  
    Causevic alijifunga dakika ya 63 kuipatia bao la kwanza Spurs, kabla ya Dembele kufunga bao la pili dakika ya 75.
    Kikosi cha Spurs kilikuwa: Friedel, Naughton, Dawson, Chiriches, Fryers/Vertonghen dk71, Capoue, Dembele, Townsend, Sigurdsson/Lamela dk78, Chadli/Holtby dk72,  na Soldado
    Tromso: Lekstrom, Frantzen/Norbye dk68, Fojut, Causevic, Kristiansen, Andersen, Johansen, Bendiksen/Helmke dk 76, Drage/Moldskred/Espejord dk71 na Ondrasek.
    Ushindi: Wachezaji wa Tottenham wakishangilia ushindi wao wa Europa League jana

    Katika mechi nyingine za jana Apoel Nicosia ilitoka  0 - 0 na Maccabi Tel Aviv, Ludogorets Razgrad 2 - 0 na PSV, Bordeaux ilifungwa 1-0 na Eintracht Frankfurt, Elfsborg ilifungwa 1-0 na FC Red Bull Salzburg, Esbjerg fB imeifunga 2 - 1  Standard Lige, FC Chornomorets Odesa imeifunga 2 - 1 Dinamo Zagreb, FC Dnipro imeichapa 4 - 1 Pandurii Targu-Jiu.
    Paos de Ferreira imetoka 0 - 0 na Fiorentina, Swansea City imefungwa 1-0 na Valencia , Wigan Athletic imefungwa 2-1 na SV Zulte Waregem, Legia Warsaw imefungwa 2-0 na Lazio, HNK Rijeka 0 - 0 na Vitria Guimares, AZ imeichapa 2 - 0 Maccabi Haifa, C Genk imeifunga 3 - 1 Dynamo Kyiv, Lyon imeifunga  1 - 0 Real Beti, SK Rapid Wien imeifunga 2 - 1 FC Thun. Sevilla imetoka 1 - 1 na Estoril-Praia, Slovan Liberec imefungwa 2-1 na Sport-Club Freiburg, Trabzonspor imeifunga 4 - 2 Apollon Limassol, Kuban Krasnodar imeifunga 4 - 0 FC St Gallen, Anzhi Makhachkalametoka  1 - 1 na Sheriff Tiraspol, Rubin Kazan imetoka  1 - 1 na NK Maribor na Shakhter Karagandy imefungwa 2-0 na PAOK Salonika.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SPURS YASHINDA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top