// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC ILIVYOCHEZEA KICHAPO CHA RUVU KARUME LEO, HIZO HASIRA ZA MATOLA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC ILIVYOCHEZEA KICHAPO CHA RUVU KARUME LEO, HIZO HASIRA ZA MATOLA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, November 23, 2013

    SIMBA SC ILIVYOCHEZEA KICHAPO CHA RUVU KARUME LEO, HIZO HASIRA ZA MATOLA!

    Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla akimtoka mchezaji wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Kundi B, michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa timu za Ligi Kuu ya Bara, maarufu kama Kombe la Uhai jioni ya leo Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam. Ruvu walishinda 2-1.  


    Kipa wa Simba SC, Abuu Hashimu akidaka mbele ya mshambuliaji wa Ruvu



    Kipa wa Ruvu akiwa ameosha


    Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Ibrahim Masoud 'Maestro' akifuatilia mchezo kwa makini


    Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage akiwa na Makamu wa Rais wa TFF, Wallace Karia 

    Beki wa Simba kushoto akiokoa mpira uliokuwa unaelekea nyavuni



    Kocha wa Simba SC, Suleiman Matola kushoto wakati wachezaji wake wakipooza koo kwa maji ya Uhai

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOCHEZEA KICHAPO CHA RUVU KARUME LEO, HIZO HASIRA ZA MATOLA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top