WINGA Gareth Bale amewaongoza wachezaji 10 wa Real Madrid kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya timu ya Roberto Mancini, Galatasaray, akifunga bao tamu la mpira wa adhabu kipindi cha kwanza.
Huku Cristiano Ronaldo akiushuhudia mchezo huo kutoka jukwaa la VIP Uwanja wa Bernabeu, hakuna aliyeweza kumzuia Bale kufunga kwa mpira wa adhabu dakika ya 37.
Mabao mengine ya Real yalifungwa na Arbeloa dakika ya 51, Di Maria dakika ya 63 Isco dakika ya 80, wakati bao pekee la Galatasaray lilifungwa na Bulut dakika ya 38.
Kikosi cha Real Madrid kilikuwa; Casillas, Arbeloa, Ramos, Pepe, Marcelo/Carvajal dk74, Casemiro/Alonso dk59, Illaramendi, Bale, Isco, Di Maria na Jese/Nacho dk28.
Galatasaray: Iscan, Eboue, Gökhan Zan, Chedjou, Nonkeu, Felipe Melo/Gulselam dk88, Inan, Bruma/Sneijder dk63, Umut Bulut, Amrabat/Riera dk67 na Drogba.
Unstoppable: Gareth Bale strikes a stunning long-range free-kick to give Real Madrid the lead
Over the wall: Galatasaray's Didier Drogba (second from left) jumps to block Bale's free-kick but can't get anywhere near it
Back of the net: Goalkeeper Eray Iscan can only watch as Bale's effort flies past him
Jumping for joy: Bale leaps into the air to celebrate his opening goal
Familiar sight: Bale pulls off his trademark heart celebration after putting Madrid 1-0 up
Down to 10: Referee William Collum shows Real Madrid defender Sergio Ramos (left) a straight red during the first half
Neat finish: Galatasaray's Umut Bulut slides the ball past Iker Casillas to bring his side back on level terms
What a moment: Bulut screams with delight after scoring his side's equaliser at the Bernabeu
Unlikely hero: Defender Alvaro Arbeloa (second from left) beats Iscan to put Madrid 2-1 up
0 comments:
Post a Comment