BONDA Manny Pacquiao amerejesha heshima baada ya kumpiga kwa pointi Brandon Rios mjini Macau asubuhi ya leo.
Mfilipino huyo alirejea ulingoni baada ya mwaka mmoja tangu apigwe kwa Knockout na Juan Manuel Marquez.
Na alishinda kila raundi hivyo kuweka hai matumaini ya kupigana katika pambano la dola za Kimarekani 300 dhidi ya Floyd Mayweather Jnr.
Alipata pointi 10 dhidi ya tisa kila Raundi katika Raundi 10 na mwisho wa siku akakusanya pointi 120 kwa 109.
Amerudi! Manny Pacquiao ameshinda kiulaini kwa pointi dhidi ya Brandon Rios mjini Macau Jumapili ya leo
Comfortable: Pacquiao (right) was never in danger against the rugged but limited Rios
Can't miss: Pacquiao's speed and movement bewildered Rios as the American failed to stamp his authority
Bouncing back: Pacquiao responded to back-to-back defeats to Juan Manuel Marquez and Timothy Bradley
0 comments:
Post a Comment