KOCHA Luiz Felipe Scolari amezindua jezi mpya za Brazil zenye nembo ya Nike na amesema wenyeji wapo tayari kuipa nchi taji la sita la Kombe la Dunia mwakani.
Nyota wa Barcelona na Brazil, Neymar ametokea kwenye picha ya bango la tangazo la jezi hizo mpya, pamoja na kiungo wa Wolfsburg, Luiz Gustavo wote walikuwa Copacabana wamevaa jezi maarufu ya njano.
Na kocha Scolari amewaonya wapinzani wa Brazil kwamba mabingwa hao mara tano wanataka kufanya kweli sasa kushinda taji la sita na kuweka rekodi mpya.
Inaonekana imechangamka: Neymar akiwa na David Luiz (katikati kulia) na Thiago Silva (katikati kushoto)
"Jezi zina mwonekano mzuri, kitu pekee kinachokosekana ni nyota sita," alisema Scolari. "Tumedhamiria kuwa nayo hapo baada ya Kombe la Dunia,".
Uzinduzi wa nembo ya 2014 ni mwanzo wa kampeni za Nike. ambao jezi ya Brazil ndiyo huwapatia mauzo makubwa kimataifa.
Nike inatarajiwa Brazil kuwa bidhaa ya tatu kwa ukubwa duniani hadi kufika mwaka 2017, nyuma ya Marekani na China.
Wapinzani wa Nike katika utengenezaji wa vifaa vya michezo ni Adidas.
Dapper: The Nike kit comes in the classic yellow with green trim and five stars
Time to shine? Luiz Felipe Scolari believes his Brazil team can win a sixth trophy on home soil
0 comments:
Post a Comment