Baada ya mashabiki wa Simba na Yanga kutoana jasho katika mikoa ya Mbeya, Mwanza na Arusha, Bonanza la Kili Nani Mtani Jembe sasa linahamia SONGEA. Mashabiki wa timu hizi kubwa watashindana katika michezo mbalimbali kama vile;
Kuvutana kamba!!.
Foos Ball!!
Soka la wachezaji saba kila upande aka “Seven aside” nk,
Nyama Choma na Burudani nyingine nyingi zitakuwepo.
§ Bonanza hili la Kili Nani Mtani jembe Songea linafanyika Jumapili hii kuanzia saa nne asubuhi, Hakuna kiingilio na wote mnakaribishwa sana!.
§ Je wewe ni shabiki wa Simba au Yanga???!!! Njoo usaidie timu yako kuibuka na mkwanja huu mnene wa Kampeni ya Kili Nani Mtani Jembe!.
0 comments:
Post a Comment