MTOTO wa David Beckham, Brooklyn anafuata nyayo za baba yake baada ya kuanza mazoezi na Manchester United.
Kijana huyo mwenye umri wa miaka 14, mtoto mkubwa kati ya watoto wanne wa Beckham, alikuwas kwenye Uwanja wa mazoezi wa United, Carrington akifanya mazoezi Alhamisi pamoja na baba yake.
Brooklyn amewahi pia kufanya majaribio Chelsea Januari na amekuwa akifanya mazoezi katika akademi ya Queens Park Rangers, pamoja na watoto wa nyota wenzake wa zamani wa soka kama kijana wa Dennis Wise, Henry na alicheza mechi ya kirafiki ya kikosi cha U14 dhidi ya Charlton Septemba.
VIDEO Kaangalie mazoezi ya kwanza ya Brooklyn Beckham Old Trafford
Famous faces: David Beckham and Dennis Wise watched their children play for QPR youth team in SeptemberBrooklyn Beckham scores first goal at Old Trafford
Mdogo wake wa kiume, Romeo mwenye umri wa miaka 12, amekuwa akifanya mazoezi katika akademi ya Arsenal.
Vijana wa Beckham wakati wote wameonekana kuwa katika pilika za kufuata nyayo za baba yake na wamewahi kufanya mazoezi na wachezaji wenzake baba yao wakwemo Zlatan Ibrahimovic and Thiago Silva.
Kipaji cha Brooklyn kilishuhudiwa mapema kabla Old Trafford, wakati alipotambulishwa katika umati wa mashabiki wakati wa sherehe za ubingwa wa United wa Ligi Kuu mwaka 2001.
Practise: Brooklyn trained with PSG youth team when his dad was playing in France
In the blood: Brooklyn training with PSG skipper Thiago Silva (left) and at La Galaxy
Football mad: Beckham with his dad David and younger brother Romeo at the Emirates
13 years on: The pair together when United won the Premier League in 2000
No. 23: Brooklyn played for LA Galaxy youth team when he was living in America
Globetrotting: Brooklyn (left) wearing the kit of LA Galaxy where his dad was for five years
0 comments:
Post a Comment