// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MESSI AINUA KIATU CHA DHAHABU BARCA IKIUA 4-0 BILA YEYE CAMP NOU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MESSI AINUA KIATU CHA DHAHABU BARCA IKIUA 4-0 BILA YEYE CAMP NOU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, November 23, 2013

    MESSI AINUA KIATU CHA DHAHABU BARCA IKIUA 4-0 BILA YEYE CAMP NOU

    MSHABULIAJI Lionel Messi alionyesha kiatu chake cha dhahabu Uwanja wa Camp Nou na kisha akaketi jukwaani akiwashuhudia wachezaji wenzake wa Barcelona wakishinda 4-0 dhidi ya Granada.
    Messi, ambaye atakuwa nje ya Uwanja hadi Januari kutokana na maumivu ya nyama, alimshuhudia Andres Iniesta akivaa bei ya Unahodha badala ya Xavi Hernandez na Victor Valdes, na kufunga bao la kwanza la Barca kwa penalti.
    Cesc Fabregas aliingia kwenye eneo la hatari akachezewa rafu na Dimitri Foulquier na japokuwa Nahodha huyo wa zamani wa Arsenal alitaka kwenda kupiga penalti, lakini Iniesta akaenda kupiga na kufunga bao la kwanza.Neymar alifurahia kucheza kama mshambuliaji wa kwanza wa Barcelona kutokana na kukosekana kwa Messi na akataka kwenda kupiga penalti ya pili waliyopewa Barcelona baada ya Fran Rico kumchezea rafu Iniesta. 
    Lakini alikuwa ni Fabregas aliyekwenda kupiga na kufunga kuiweka mbele Barca kwa 2-0.
    Pasi nzuri ya Neymar, Sanchez akafunga dakika ya 71 kabla ya Pedro kufunga kwa pasi ya Fabregas dakika ya 90. 

    Goal! Cesc Fabregas punches the air after slotting home Barcelona's second penalty
    Another award: Lionel Messi shows off his Golden Boot trophy before the game
    Another award: Lionel Messi shows off his Golden Boot trophy before the game
    Dugout: Lionel Messi took his place on the Barcelona bench because of his injured hamstring
    Dugout: Lionel Messi took his place on the Barcelona bench because of his injured hamstring
    Down: Fabregas takes a tumble in the box for the leaders' first penalty of the day
    Down: Fabregas takes a tumble in the box for the leaders' first penalty of the day
    Too easy: Fabregas puts away a spot kick as the hosts go on to win 4-0
    Too easy: Fabregas puts away a spot kick as the hosts go on to win 4-0
    Teamwork: Neymar and Marc Batra celebrate with the former Arsenal midfielder
    Teamwork: Neymar and Marc Batra celebrate with the former Arsenal midfielder
    Unrivalled: Andres Iniesta takes on several Granada players in another wonderful performance
    Unrivalled: Andres Iniesta takes on several Granada players in another wonderful performance
    Instructions: Gerardo Martino gives his troops their orders during the game
    Instructions: Gerardo Martino gives his troops their orders during the game
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI AINUA KIATU CHA DHAHABU BARCA IKIUA 4-0 BILA YEYE CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top