// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MECHI ZA UFUNGUZI CECAFA CHALLENGE KATIKA PICHA LEO NYAYO...ZANZIBAR NA SUDAN NA KENYA NA ETHIOPIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MECHI ZA UFUNGUZI CECAFA CHALLENGE KATIKA PICHA LEO NYAYO...ZANZIBAR NA SUDAN NA KENYA NA ETHIOPIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, November 27, 2013

    MECHI ZA UFUNGUZI CECAFA CHALLENGE KATIKA PICHA LEO NYAYO...ZANZIBAR NA SUDAN NA KENYA NA ETHIOPIA

    Kiungo wa Zanzibar, Suleiman Kassim 'Selembe' akipiga mpira mbele ya beki wa Sudan Kusini, Philip Delfino katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na kati, CECAFA Challenge leo Uwanja wa Nyayo, Nairobi, Kenya. Zanzibar ilishinda 2-1.

    Mshambuliaji wa Zanzibar Ally Badru alikosa bao la wazi leo 

    Kiungo wa Zanzibar, Masoud Ally Mohamed akipasua katikati ya wachezaji wa Sudan Kusini

    Badru akimtoka Delfino

    Ally Badru akimtoka Richard Justin

    Kikosi cha Ethiopia kilichotoka sare ya bila kufungana na weyeji Kenya katika mchezo wa pili

    Kipa wa Ethiopia, Derete Alemu akidaka mbele ya mshambuliaji wa Kenya, Edwin Lavatsa

    Beki wa Ethiopia, Salahadin Bargicho akimgeuza beki wa Kenya, David Ochieng 

    Francis Kahata wa Kenya akiambaa na mpira

    Moges Tedese wa Ethiopia akiondoka na mpira pembeni ya Wakenya

    Mashabiki wa Ethiopia


    Kikosi cha Kenya

    Yousuf Yassin akimgeuza James Situma wa Kenya

    Yousuf Yassin akimpiga tobo beki wa Kenya

    Shemeles Tegne akimtoka beki wa Kenya

    Wanajeshi wa Kenya wakiangalia mechi kati ya Harambee na Ethiopia

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MECHI ZA UFUNGUZI CECAFA CHALLENGE KATIKA PICHA LEO NYAYO...ZANZIBAR NA SUDAN NA KENYA NA ETHIOPIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top