KIUNGO Michael Carrick amesaini Mkataba mpya Manchester United, ambao utamfanya adumu Old Trafford hadi mwaka 2015.
Kiungo huyo kwa sasa yuko nje ya Uwanja kwa sababu ya majeruhi, lakini ameemelezea furaha yake kwa kuongeza Mkataba na mabingwa hao wa Ligi Kuu ya England.
Carrick amesema: "Ni babu kubwa kuongeza Mkataba wangu katika klabu hii kubwa. Hakika nafurahia soka yangu.
Kazini: Lakini Carrick (kulia, akichuana na kiungo wa Arsenal, Santi Cazorla) anaendelea na matibabu ya maumivu yake
Suti na kimwana: Carrick akiwa na mkewe Lisa jana katika hafla ya chaula cha usiku ya UNICEF jana
0 comments:
Post a Comment