Mshambuliaji wa Stars, Elias Maguri kushoto akimtoka beki wa Zambia, Bronson Chama kulia |
Kiungo wa Stars, Hassan Dilunga akimtoka mshambuliaji wa Zambia, Ronald Kampamba |
Mchezaji filamu na mwimbaji, Dokii ambaye kwa sasa anasoma Kenya alikuwepo Uwanja wa Kenyatta leo kuishangilia timu ya nyumbani, Stars |
Beki wa Stars, Erasto Nyoni akipiga krosi |
Kiungo wa Stars, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtoka kiungo wa Zambia, Kondwani Mtonga |
Elias Maguri akitafuta mbinu za kumtoka Bronson Chama |
Hassan Dilunga akipambana na kiungo wa Zambia, Rodrick Kabwe |
Elias Maguri na Bronson Chama leo ilikuwa shughuli pevu |
Mshambuliaji wa Stars, Mrisho Ngassa akiwafunga tela mabeki wa Zambia |
Salum Abubakar 'Sure Boy' akimtesa kiungo wa Zambia, Stanley Nshimbi |
Kipa wa Zambia, Nsabata Toaster akidaka mpira mbele ya Elias Maguri, huku Bronson Chama akiwa tayari kumsaidia na Mrisho Ngassa anasubiri mpira upotee |
Kiungo wa Zambia, Rodrick Kabwe akia amepitia mpira miguuni mwa Erasto Nyoni |
Kikosi cha Stars leo |
Kikosi cha Zambia |
Kikosi cha Burundi kilichoifunga Somalia 2-0 katika mchezowa kwanza Kundi B mchana wa leo Uwanja wa Kenyatta |
Kikosi cha Somalia |
Somalia na Burundi |
Nahodha wa Burundi, Hakizimana Hassan akimtoka beki wa Somalia |
Hata hivyo, jitihada za Hakizimana ziliishia mikononi mwa kipa wa Somalia, Mohamed Sherrif aliyedaka |
0 comments:
Post a Comment