MABINGWA watetezi, Bayern Munich wameendeleza ubabe katika Ligi ya Mabingwa baada ya kuicharaza mabao 3-1 CSKA Moscow Uwanja wa Khimki Arena katika mchezo wa Kundi D.
Mabao ya Bayern usiku huu yamefungwa na Arjen Robben, Mario Gotze na Thomas Muller kwa penalti.
Huo unakuwa ushindi wa 10 mfululizo kwa Bayern na hivyo kuvunja rekodi ya mwaka 2002 ya Barcelona katika michuano hiyo.
First class: Mario Gotze scored a wonderful solo goal to double Bayern's lead
Hardy Russians: CSKA Moscow fans appear not to have any trouble with the cold weather
MATOKEO MECHI ZOTE LIGI YA MABINGWA
Kundi A
Shakhtar Donetsk 4-0 Real Sociedad
Kundi B
Juventus 3-1 FC Copenhagen
Kundi C
Anderlecht 2-3 Benfica
Kundi D
CSKA Moscow 1-3 Bayern Munich
Penalty expert: Two of Arturo Vidal's goals came from the penalty spot
Hat-trick hero: He even celebrated just like Gareth Bale with the handheld heart
Winning by four: Shakhtar's Alex Teixeira scores the second against Real Sociedad
0 comments:
Post a Comment