BARCELONA imefungwa mabao 2-1 na Ajex katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu mjini Amsterdam. Pamoja na ushindi huo, Ajax ilimaliza pungufu ya mchezaji mmojabaada ya Veltman kutolewa nje kwa kadi nyekundu dakika ya 48.
Mabao ya Ajax yalifungwa na Serero dakika ya 18 na Hoesen dakika ya 41 kabla ya Xavi kuifungia Barca bao la kufutia machozi kwa penalti dakika ya 49.
Ajax: Cillessen, Van Rhijn, Veltman, Moisander, Boilesen/Poulsen dk34, Klaassen, Blind, Serero, Schone/Denswil dk51, Hoesen/Duarte dk84 na Fischer.
Barcelona: Pinto, Puyol (Gabarron 68), Mascherano, Pique, Montoya, Xavi (Sergi Roberto 74), Song, Iniesta, Pedro, Fabregas (Traore), Neymar.
Mchezaji wa Ajax, Danny Hoesen akishangilia na Davy Klaassen baada ya kuwafungia wenyeji bao la pili
Stunner: Hoesen smashes in a left foot shot from a rebound
Ecstatic: Viktor Fischer screams in happiness at the final whistle
Strike: Barcelona's Neymar attempts at shot on goal with Joel Veltman in close attendance
Watching closely: Cesc Fabregas controls the ball on his right boot
0 comments:
Post a Comment