// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ARSENAL YAUA 2-0 MABAO YOTE WILSHERE, CHELSEA YAKALISHWA..BALOTELLI AING'ARISHA AC MILAN - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ARSENAL YAUA 2-0 MABAO YOTE WILSHERE, CHELSEA YAKALISHWA..BALOTELLI AING'ARISHA AC MILAN - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, November 27, 2013

    ARSENAL YAUA 2-0 MABAO YOTE WILSHERE, CHELSEA YAKALISHWA..BALOTELLI AING'ARISHA AC MILAN

    MABAO mawili ya kiungo Jack Wilshere leo yameipa ushindi wa 2-0 Arsenal dhidi ya Marseille ya Ufaransa katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Emirates. 
    Ilimchukua sekunde 29 tangu kuanza kwa mchezo huo kiungo huyowa England kufunga bao la kwanza akimtungua kipa hodari, Steve Mandanda na akfunga tena bao la pili dakika ya 65.
    Kikosi cha Arsenal: Szczesny, Sagna, Monreal, Flamini, Mertesacker, Koscielny, Wilshere/Walcott dk75, Ramsey, Giroud, Ozil/Arteta dk82 na Rosicky/Cazorla dk75.
    Marseille: Mandanda, Abdallah, Morel, Romao, N'Koulou, Lucas Mendes, J.Ayew/Valbuena dk57, Lemina/Cheyrou dk82, Gignac, Imbula/Thauvin dk57 na Khalifa.
    Mwanzo mzuri: Jack Wilshere alifunga bao la kwanza sekunde ya 29
    Pick that one out: Wilshere's left-footed curler eluded Marseille keeper Steve Mandanda
    Wilshere akimtungua kipa wa Marseille, Steve Mandanda
    Super fan: Thierry Henry was in the stands and celebrated after Wilshere found the back of the net
    Shabiki mkubwa: Thierry Henry alikuwa jukwani na hapa anashangilia baada ya Wilshere kufunga
    Game over: Wilshere converted his second goal of the night to ensure Arsenal grabbed all three points
    Mchezo umekwisha: Wilshere akifunga bao lake la pili usiku huu
    Cracker jack: Wilshere celebrates his brace at the corner flag in front of the home faithful
    Wilshere akishangilia baada ya kufunga bao la pili

    Katika mchezo mwingine, Chelsea imefungwa bao 1-0 na FC Basle, bao pekee la Mohamed Salah. Mabao ya Kaka dakika ya 12, Zapata dakika ya 49 na Balotelli dakika ya 59 yameipa AC Milan ushindi wa 3-0 dhidi ya Celtic nchini Scotland katika mchezo mwingine wa michuano hiyo.
    Salah
    Mohamed Salah ameifungia bao pekee Basle ikiilaza Cheslea
    Heads down: But Branislav Ivanovic, John Terry and John Obi Mikel (left-right) are still through
    Vichwa chini: Branislav Ivanovic, John Terry na John Obi Mikel wakisikitika baada ya kipigo
    ns. 
    On target: AC Milan striker Mario Balotelli celebrates after scoring his side's third goal of the game
    Amefunga: Mario Balotelli akishangilia baada ya kuifungia AC Milan
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL YAUA 2-0 MABAO YOTE WILSHERE, CHELSEA YAKALISHWA..BALOTELLI AING'ARISHA AC MILAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top