KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger amethibitisha timu yake ipo kwenye mazungumzo na bi wake wa kati Per Mertersacker ili kuongeza Mkataba.
Beki huyo mrefu mwenye umri wa miaka 29, ambaye aliifungia bao pekee Ujerumani katika mchezo wa kirafiki na England Jumanne akiwa Nahodha, amekuwa akiibeba The Gunners msimu huu.
"Tupo katika harakati za kumuongezea Mkataba Per Mertesacker,"alisema Wenger katika Mkutano na Waandishi wa Habari.
Arsene Wenger amethibitisha leo asubuhi katika Mkutano na Waandishi wa Habari
0 comments:
Post a Comment