Saturday, November 30, 2013
London, England ARSENAL imezidi kijichimbia kileleni mwa Ligi Kuu ya England, baada ya kuilaza mabao 3-0 Cardiff City, kwenye Uwanja wa Ca...
SAMATTA AFUNGA, LAKINI SFAXIEN YAIUA MAZEMBE DAKIKA YA 88 LUBUMBASHI, WAMKOSA MWALI WA CAF HIVI HIVI!
Saturday, November 30, 2013
Na Nurat Mahmoud, Lubumbashi WASHAMBULIAJI Mbwana Ally Samatta na Thomas Emanuel Ulimwengu leo wameshindwa kutimiza ndoto zao za kuwa Wa...
KENYA WAOTEA VIBONDE, WAWACHAPA 3-1 NYAYO
Saturday, November 30, 2013
Na Mahmoud Zubeiry, Nairobi KENYA imeshinda mechi ya kwanza Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge baada ya kuilaz...
MALINZI AMUAMBIA RAIS KIKWETE; "NITAHAKIKISHA TUNAANDAA KOMBE LA AFRIKA MWAKA 2019"
Saturday, November 30, 2013
Na Dina Ismail, Dar es Salaam RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi amesema kwamba atahakikisha wanakuwa wenyeji w...
ZANZIBAR YAPIGWA NA WAHABESHI NYAYO CHALLENGE
Saturday, November 30, 2013
Na Mahmoud Zubeiry, Nairobi ZANZIBAR imejiweka njia panda kwenda au kutokwenda Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kat...
MICHAEL WAMBURA: WATU WANADHANI NIMETEULIWA SIMBA KUMLINDA RAGE,LAKINI...
Saturday, November 30, 2013
"Hivi karibuni niliteuliwa na Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Mhe Ismail Aden Rage kuwa mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba.Wanachama ...
AZAM YAMPA MKATABA WA MIAKA MIWILI KOCHA WA AKINA ETO’O
Saturday, November 30, 2013
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KLABU ya Azam leo imemtambulisha kocha wake mpya, Joseph Marius Omograia wa Cameroon iliyempa Mkataba wa...
KIM POULSEN APANGUA KIKOSI STARS, DILUNGA BENCHI KESHO, CHUJI ATAANZA
Saturday, November 30, 2013
Na Mahmoud Zubeiry, Nairobi KOCHA Mdenmark, Kim Poulsen anatarajiwa kuwa na marekebisho madogo katika kikosi chake cha kesho kitakachomeny...
STARS KATIKA MAZOEZI LEO NAIROBI KUJIANDAA NA MCHEZO WA PILI CHALLENGE KESHO
Saturday, November 30, 2013
Kipa wa Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, Ivo Mapunda akizuia mpira wakati wa mazoezi ya timu hiyo leo asubuhi Uwanja wa Chuo Kikuu cha S...
ULIMWENGU, SAMATTA KUWEKA REKODI AFRIKA LEO?
Saturday, November 30, 2013
Na Nurat Mahmoud, Lubumbashi WASHAMBULIAJI Mbwana Ally Samatta na Thomas Emanuel Ulimwengu leo watakuwa wanawania kuwa Watanzania wa kwan...
RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA KOMBE LA DUNIA MWANZA, MWALI WA FIFA AWASILI DAR LEO
Saturday, November 30, 2013
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akilifunua Kombe la Dunia la FIFA katika Uwanja wa michezo wa CCM K...
ZANZIBAR YAWANIA ROBO FAINALI LEO, KENYA YAJARIBU BAHATI KWA SUDAN KUSINI NYAYO
Saturday, November 30, 2013
Na Mahmoud Zubeiry, Nairobi ZANZIBAR leo inatarajiwa kucheza mechi yake ya pili ya Kundi A, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, ...
Friday, November 29, 2013
UGANDA YAWAFUNGA RWANDA 1-0, SUDAN YAIFUMUA ERITREA 3-0
Friday, November 29, 2013
Na Mahmoud Zubeiry, Nairobi BAO pekee la Dan Sserunkuma dakika ya 88, limeipa Uganda, The Cranes ushindi wa 1-0 dhidi ya Rwanda, Amavubi k...
NI YANGA NA COASTAL FAINALI KOMBE LA UHAI 2013
Friday, November 29, 2013
YANGA SC imefanikiwa kuingia Fainali ya michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa klabu za Ligi Kuu ya Bara, maarufu kama Kombe la...
TFF YAMKAMATA PAZURI RAGE, ATAKE ASITAKE SASA ATAITISHA MKUTANO SIMBA SC
Friday, November 29, 2013
Na Princess Asia, Dar es Salaam SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), sasa limekamata pazuri Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage a...
Subscribe to:
Posts (Atom)