![]() |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akiwatoka mabeki wa Rhino Rangers katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-0. |
![]() |
Simon Msuva akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Rhino |
![]() |
Hatari kwenye lango la Rhino |
![]() |
Simon Msuva na beki wa Rhino |
![]() |
Wachezaji wa Yanga wakishangilia kulia, huku mchezaji wa Rhino akiwalalamikia wenzake |
0 comments:
Post a Comment