Mrisho Ngassa akimpongeza Hamisi Kiiza kufunga bao la ushindi
|
Mrisho Ngassa akishangilia bao lake la kwanza |
Hamisi Kiiza akitimua mbio kushangilia baada ya kufunga bao la ushindi |
Hamisi Kiiza akikimbilia pasi ndefu ya Mbuyu Twite iliyozaa bao la ushindi la Yanga |
Ameikuta na kufumua shuti kufunga bao la ushindi |
Saum Kanoni wa Kagera Sugar akimiliki mpira mbele ya Didier Kavumbangu wa Yanga |
Maregesi Mwangwa wa Kagera Sugar akikabiliana na Mrisho Ngassa |
Paul Ngway wa Kagera Sugar akigombea mpira na Frank Domayo wa Yanga, huku George Kavilla akiwa tayari kutoa msaada kulia |
Benjamin Asukile wa Kagera Sugar chini akimdhibiti Mrisho Ngassa wa Yanga SC |
Kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' akipambana na George Kavilla wa Kagera Sugar |
Mrisho Ngassa na Benjamin Asukile |
Simon Msuva wa Yanga akimruka kipa |
Didier Kavumbangu akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Kagera Sugar |
Hamisi Kiiza na beki wa Kagera |
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wao |
Kikosi cha Yanga leo |
Kikosi cha Kagera leo |
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Mussa Katabaro akisalimiana na kocha Msaidizi wa Kagera Sugar, Mrage Kabange |
Ghorofa hili lipo nyuma ya Uwanja wa Kaitaba, basi watu wengi huinia ili kuangalia mechi bure |
Shabiki akijipoza na juisi ya Azam huku akiangalia mechi Kaitaba |
Kijana juu ya moja ya miti iliyozunguka Uwanja wa Kaitaba akiangalia mechi bure |
Wengine hawa hapa |
Na wengine hawa hapa |
0 comments:
Post a Comment