// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WATU WAZIMIA VIBAYA LEO TAIFA, NI MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WOTE...ILIKUWA BALAA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WATU WAZIMIA VIBAYA LEO TAIFA, NI MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WOTE...ILIKUWA BALAA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, October 20, 2013

    WATU WAZIMIA VIBAYA LEO TAIFA, NI MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WOTE...ILIKUWA BALAA

    Shabiki mwingine aliyezimia
    Shabiki wa Simba SC akiwa amezimia wakati wa mapumziko, timu yake ikiwa imelala 3-0 mbele ya Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hata hivyo, Simba SC ilisawazisha mabao yote kipindi cha pili na kupata sare ya 3-3. Watu zaidi ya 10 walizimia leo, wakiwemo mashabiki wa Yanga pia.








    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WATU WAZIMIA VIBAYA LEO TAIFA, NI MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WOTE...ILIKUWA BALAA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top