Mgombea nafasi ya Umakamu wa Rais wa TFF, Wallace Karia kushoto akisikiliza kwa makini hotuba ya Rais Tenga |
Kutoka kulia, Mgombea Urais wa TFF, Athumani Nyamlani, Mbunge wa Temeke, Zuberi Mtemvu na Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan 'Zungu' |
Kulia ni Ofisa Maendeleo wa Shirikisho la Soka Kimataifa (FIFA) Kanda ya Kusini, Ashford Mamelodi kutoka Botswana na kushoto Henry Tandau, Mkufunzi wa FIFA kutoka hapa hapa Tanzania |
Rais wa heshima wa TFF, Muhiddin Ndolanga yupo pia |
Mgombea Urais wa TFF, Jamal Malinzi kushoto |
Wajumbe |
Wajumbe |
Wajumbe |
Mwenyekiti wa Azam FC, Sheikh Said Muhammad Said Abeid kushoto akisoma dua maalum kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu. Kulia ni Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage |
Wajumbe wakiitikia dua |
Meza kuu |
Wajumbe |
Wajumbe |
0 comments:
Post a Comment