MSHAMBULIAJI Luis Suarez amefunga maba matatu peke yake Liverpool ikishinda 4-1 dhidi ya West Brom katika Ligi Kuu ya England bao lingine likifungwa na Daniel Sturridge.
Nyoa huyo wa Uruguay alifunga mabao mawili kipindi cha kwanza, dakika za 12 na 17 bkabla ya kukamilisha hat-trick yake kipindi cha pili kwa bao la kichwa dakika ya 55.
James Morrison aliofungia bao la kufutia machozi West Brom kwa penalti dakika ya 66, wakati Sturridge alifunga bao lake dakika ua 77.
Kikosi cha Liverpool kilikuwa: Mignolet, Toure, Skrtel, Sakho, Johnson/Kelly dk62, Lucas, Gerrard/Allen dk86, Cissokho, Henderson, Sturridge na Suarez/Alberto dk89.
West Bromwich: Myhill, Billy Jones, McAuley, Olsson, Ridgewell, Yacob/Brunt dk69, Mulumbu, Amalfitano/Morrison dk45, Anelka/Long dk69, Sessegnon na Anichebe.
Double: Luis Suarez helped Liverpool leapfrog Chelsea into second place in the Barclays Premier League
Hat-trick: The Uruguayan scored twice in five first-half minutes and again in the second half at Anfield
Opener: Suarez put Liverpool ahead in the 12th minute when he fired into the bottom far corner
Skills: The Uruguayan nutmegged Joas Olsson on the edge of the box before netting the opening goal
0 comments:
Post a Comment