KLABU ya Tottenham ipo katika mpango wa siri wa kujenga Uwanja mpya wa kisasa zaidi utakaokuwa na uwezo wa kuchukua watu 65,000, ambao utatumika pia kwa michezo ya NFL .
Mapema mwaka huu, klabu hiyo iliachana na mpango wa kujenga Uwanja wa watu 56,000- ambao ungewagharimu Pauni Milioni 400, wakisema kwamba kujenga Uwanja utakaoendana na idadi ya watu wanaoingia White Hart Lane.
Lakini leo imegundulika, Spurs imeiteua kampuni ya Populous, iliyodizaini Uwanja wa Olympic na Emirates— wa wapinzani wao mjini London, Arsenal — kudizaini Uwanja mkubwa wa kisasa.
Trans-Atlantic: The plans for the new White Hart Lane are still up in the air, but the NFL could get involved
Going long: Goalkeeper Brad Friedel tries his hand at being a quarterback
Gift: 49ers chairman John York and Tottenham chairman Daniel Levy exchanged jerseys
0 comments:
Post a Comment