// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA LEO TAIFA, TAMBWE KWELI NI NOMA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA LEO TAIFA, TAMBWE KWELI NI NOMA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, October 31, 2013

    SIMBA SC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA LEO TAIFA, TAMBWE KWELI NI NOMA!

    Mshambuliaji wa Smba SC, Amisi Tambwe akiwaacha mabeki wa Kagera Sugar wakiangukiana na kipa wa Aghaton Anthony  ambaye aliumia baada ya tukio hilo na kushindwa kuendelea na mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Uwanja wa taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1.


    Amisi Tambwe akimtoka Martin Muganyizi


    Martin Muganyizi akimuweka chini Amisi Tambwe


    Amisi tambwe akipambana na Maregesi Mwangwa


    Amisi Tambwe akipasua katikati ya Daudi Jumanne kulia na Ernest Mwalupani kushoto


    Ramadhani Singano 'Messi' akimtoka Martin Muganyizi


    Betram Mombeki na Maregesi Mwangwa


    Betram Mombeki akipiga kichwa


    Amisi Tambwe akimiliki mpira ya Ernest Mwalupani


    Jonas Mkude akigombea mpira na Ernest Mwalupani


    Bao la mabonu; Kipa wa Simba SC, Abuu Hasimu akiruka upande tofauti na ulipoelekea mpira kufuatia mkwaju wa penalti wa Salum Kanoni 


    Betram Mombeki alifunga bao ambalo lilikataliwa na refa


    Salum Kanoni akishangili baada ya kufunga bao muhimu


    Beki wa Simba, Issa Rashid ''Baba Ubaya akimuacha chini mchezaji wa Kagera


    Ernest Malupani akibinuka tuk tak pembeni ya Amisi Tambwe


    Ramadni Singano akimgeuza beki wa Kagera Sugar, Ernest Mwalupani


    Kikosi cha Simba leo


    Kikosi cha Kagera leo


    Makocha waa Simba SC wakimlalamikia refa wa akiba kwa kuzidisha muda wa mechi


    Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe katikati, ku;ia Meneja wa zamani wa timu hiyo, Evarist Hagila na kushoto aliyekuwa Makamu Mqennyeiki wa Simba Geoffrey Nyange 'Kaburu'


    Hans Poppe akiwa na kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Joseph  Itang'are 'Kinesi' kushoto


    Benchi la Simba SC baada ya Kagera kusawazisha bao 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA LEO TAIFA, TAMBWE KWELI NI NOMA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top