// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
SIMBA SC NA COASTAL UNION KATIKA PICHA LEO MKWAKWANI..MKONO WA BIN ZUBEIRY NI NOMA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINESIMBA SC NA COASTAL UNION KATIKA PICHA LEO MKWAKWANI..MKONO WA BIN ZUBEIRY NI NOMA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
SIMBA SC NA COASTAL UNION KATIKA PICHA LEO MKWAKWANI..MKONO WA BIN ZUBEIRY NI NOMA!
Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla akipambana na msitu wa wachezaji wa Coastal Union leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu hizo, Mechi hiyo iliisha kwa sare ya 0-0.
Mshambuliaji wa Simba SC, Edward Christopher Edward akipambana na beki wa Coastal Union
Mshambuliaji wa Simba SC, Zahor Pazi akimiliki mpira mbele ya beki wa Coastal Union, Juma Nyosso
Kipa wa SImba SC, Abuu Hashimu akiwa amedaka mpira mbele ya Haruna Moshi 'Boban' wa Simba SC
Haruna Shamte wa Simba SC akipambana na kiungo wa Coastal, Crispin Odula
Kiungo wa SImba SC, William Lucian 'Gallas' akipambana na beki wa Coastal Union, Juma Nyosso
Amri Kiemba wa Simba SC akimtoka Juma Nyosso wa Coastal
Kipa wa Simba SC, Abbel Dhaira kushoto akitoka uwanjani baada ya kuumia kipindi cha kwanza
Zahor Pazi akijaribu kuiwahi krosi bila mafanikio, huku kipa wa Coastal, Shaaban Kado akiwa tayari kuokoa
Jerry Santo wa Coastal akipambana na viungo wa Simba SC, William Lucian 'Gallas' na Saidi Ndemla
Said Ndemla akimdhibiti Yayo Lutimba wa Coastal
Juma Nyosso akimvuta jezi Amisi Tambwe
Haruna Moshi wa Coastal akimtoka Kaze Gilbert wa Simba SC
Haruna Moshi akiwa ameanguka chini baada ya kukutana na Kaze Gilbert
Haruna Moshi kushoto na Kaze Gilbert kushoto
Haruna Moshi na Kaze Gilbert
11 wa Simba SC walioanza leo
11 wa Coastal walioanza leo
Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage akishuhudia mchezo huo leo Mkwakwani
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe kulia na Kaimu Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Joseph Itang'are 'Kinesi'
Kocha wa Simba SC, Abdallah Kibadeni kulia akiwa na Msaidizi wake, Jamhuri Kihwelo na Meneja Nico Nyagawa
Makocha wa Muda wa Coastal, Razack Yussuf 'Careca' na Joseph Lazaro
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment