// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC ILIVYOWARARUA MAKUCHA YA USO WAJELAJELA TAIFA LEO NA KUZIDI KUPAA KILELENI LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC ILIVYOWARARUA MAKUCHA YA USO WAJELAJELA TAIFA LEO NA KUZIDI KUPAA KILELENI LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, October 12, 2013

    SIMBA SC ILIVYOWARARUA MAKUCHA YA USO WAJELAJELA TAIFA LEO NA KUZIDI KUPAA KILELENI LIGI KUU

    Kiungo wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akimtoka beki wa Prisons ya Mbeya katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda bao 1-0, bao la kiungo Jonas Mkude na kujiimarisha kileleni mwa ligi hiyo kwa kufikisha pointi 18. 

    Haroun Chanongo akimtoka beki wa Prisons

    Haroun Chanongo na beki wa Prisons

    Jonas Mkude akipiga mpira mbele ya mchezaji wa Prisons, huku Abdulhalim Humud akiwa tayari kutoa msaada

    Beki wa Prisons akimdhibiti mshambuliaji wa Simba SC, Edward Christopher

    Ramadhani Singano 'Messi' akipasua

    Mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe akijaribu bila mafanikio kumfunga kipa wa Prisons

    Kocha Msaidizi wa Simbqa SC, Jamhuri Kihwelo akiwapokea wachezaji wake baada ya kpindi cha kwanza

    Kikosi cha Simba SC leo

    Kikosi cha Prisons leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOWARARUA MAKUCHA YA USO WAJELAJELA TAIFA LEO NA KUZIDI KUPAA KILELENI LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top