// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SHABIKI YANGA SC AWA KIVUTIO NA MKOBA WA KIKE KAITABA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SHABIKI YANGA SC AWA KIVUTIO NA MKOBA WA KIKE KAITABA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, October 13, 2013

    SHABIKI YANGA SC AWA KIVUTIO NA MKOBA WA KIKE KAITABA

    Shabiki maarufu wa Yanga SC, Kaisi (kulia) akiwa na mkoba wa kike Uwanja wa Kaitaba, Bukoba jana wakati timu yake ikimenyana na wenyeji Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara na kushinda 2-1. Kaisi alikuwa kivutio wakati anatinga uwanjani hapo na mkoba huo wenye rangi ya kijani. Wengine kushoto ni Mkuruenzi wa Masoko wa klabu hiyo, George Simba na shabiki mwingine wa klabu hiyo, Carlos.  

    Kaisi kulia kwa raha zake na mkoba wa kike

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SHABIKI YANGA SC AWA KIVUTIO NA MKOBA WA KIKE KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top