"Hivi ndivyo unavyomaanisha bosi kwa kunipanga pamoja na mchezaji mwenzangu?" Gareth Bale ametoa majibu mazuri kwa kocha Carlo Ancelotti Uwanja wa Bernabeu, kwa kufunga mabao mawili na kutengeneza mengine mawili katika ushindi wa mabao 7-3 dhidi ya Sevilla.
Ancelotti alikandia uchezaji wa Bale baada ya Clasico, lakini akacheza vizuri kwa mara ya kwanza akimaliza dakika 90 Real Madrid.
Winga huyo wa Wales alifunga katika dakika za 13 na 27, wakati Mreno Cristiano Ronaldo akafuga kwa penalti dakika ya 32 na mengine mawili dakika za 60 na 71, kabla ya Karim Benzema kufunga mawili pia dakika za 53 na 80.
Mabao ya Sevilla iliyompoteza mchezaji wake M'Bia aliyeonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 76, yalifungwa na Rakitic kwa penalti 38 na lingine dakika ya 63, wakati lingine lilifungwa na Bacca dakika ya 40.
Berna bow: Bale scored the opening two goals on his home full league debut for Real Madrid
Strike: Bale whipped a cross from Karim Benzema into the top corner in the 13th minute
LA LIGA TOP FOUR
Kikois cha Real Madrid kilikuwa: Diego López, Arbeloa, Varane, Ramos, Marcelo, Illarramendi/Alonso dk64, Khedira/Di Maria dk82, Bale, Isco/Modric dk71, Ronaldo na Benzema.
Sevilla: Beto, Pareja, Carriço, Navarro, Figueiras, Rakitic, Mbia, Alberto, Jairo/Perotti dk62, Vitolo/Reyes dk83, Bacca/Gameiro dk62.
Jumping for joy: Bale celebrates his first goal at the Bernabeu
Pat on the back: Isco and Cristiano Ronaldo congratulate Bale on his opening goal
From the spot: Cristiano Ronaldo added a penalty to give Real Madrid a 3-0 lead
Back in it: Carlos Bacca's goal in the 40th minute, two minutes after a Sevilla penalty, made it 3-2
In on the act: Karim Benzema scored two goals in the second half to add to Madrid's lead
Hat-trick: Ronaldo scored his third goal in the second half as Real Madrid moved six points behind Barcelona
Penalty? Bale went down after a challenge from Moreno, but the referee was unmoved
Plenty to ponder: Real Madrid manager Carlo Ancelotti will be concerned about his team's defending
Appreciation: Bale applauds the fans at the Bernabeu after Madrid's 7-3 victory
0 comments:
Post a Comment