// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA WAIFARIJI FAMILIA YA WEMA KWA MSIBA WA BALOZI ISAAC SEPETU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA WAIFARIJI FAMILIA YA WEMA KWA MSIBA WA BALOZI ISAAC SEPETU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, October 29, 2013

    RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA WAIFARIJI FAMILIA YA WEMA KWA MSIBA WA BALOZI ISAAC SEPETU


    Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa Balozi Isaac Sepetu, Mama Miriam Sepetu, alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es salaam, kutoa pole kwa mjane huyo na familia ya Marehemu Sepetu aliyefariki jana jijini Dar es salaam.

     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa wanafamilia wa Balozi Isaac Sepetu alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es salaam, kutoa pole kufuatia msiba Marehemu Sepetu aliyefariki jana  jijini Dar es salaam.
     Mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akimfariji mjane wa Balozi Isaac Sepetu alipokwenda  nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es salaam, kutoa pole kufuatia msiba Marehemu Sepetu aliyefariki jana katika jijini Dar es salaam.
     Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa Balozi Isaac Sepetu  alipokwenda  nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es salaam, kutoa pole. Marehemu Sepetu aliyefariki jana katika jijini Dar es salaam.
     Mama Salma Kikwete  akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa Balozi Isaac Sepetu  nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es salaam. Marehemu Sepetu aliyefariki juzi jijini Dar es salaam.
     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji  mjane wa Balozi Isaac Sepetu, Mama Miriam Sepetu, alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es salaam, kutoa pole kwa mjane huyo na familia ya Marehemu Sepetu aliyefariki jana jijini Dar es salaam.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA WAIFARIJI FAMILIA YA WEMA KWA MSIBA WA BALOZI ISAAC SEPETU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top