Kiungo Jonas Mkude akiwapa ishara ya 'amkeni' mashabiki wa Simba SC baada ya sare ya 3-3 na Yanga wakitoka nyuma kwa 3-0 |
Kiungo wa Yanga SC, Frank Domayo akitoa pasi mbele ya kiungo wa Simba SC, Abdulhalim Humud |
Didier Kavumbangu akiwatoka mabeki wa Simba SC |
Kavumbangu akituliza mpira kifuani katikari ya mabeki wa Simba |
Mabeki wa Yanga SC, Nadir Haroub 'Cannavaro' na Kevin Yondan kulia wakimdhibiti mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe |
Haroun Chanongo wa Simba akigombea mpira na Haruna Niyonzima wa Yanga |
Kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' kulia dhidi ya Humud wa Simba |
Kipa wa Simba SC, Abbel Dhaira akiwa amedaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga SC, Kavumbangu ambaye tayari alimpita beki Joseph Owino |
Mrisho Ngassa akibinuka tik tak |
Beki Nassor Masoud 'Chollo' akiuptia mpira miguuni mwa Mrisho Ngassa |
Betram Mombeki akiruka kupiga kichwa ya Frank Domayo wa Yanga |
Joseph Owino wa Simba SC akiupitia mpira miguuni mwa Kavumbangu |
Nassor Masoud 'Chollo' wa Simba akimiliki mpira mbele ya Ngassa |
Ngassa akimtoka Ramadhani Singano 'Messi' wa Simba |
Ngassa na Messi wa Simba |
Ngassa akishangilia na David Luhende kulia na Haruna Niyonzima baada ya kufunga bao la kwanza |
Humud akimtoka Kaumbangu |
Amisi Tambwe wa Simba SC akipambana na Mbuyu Twite wa Yanga SC |
11 walioanza Simba SC leo |
11 walioanza Yanga SC leo |
0 comments:
Post a Comment