BINGWA wa uzito wa juu wa Olimpiki, Anthony Joshua ameendeleza mwanzo wake mzuri katika ngumi za kulipwa baada ya kumpiga kwa Knockout (KO) raundi ya pili, Paul Butlin.
Mbabe huyo wa London, anayeitwa 'New Lewis' akifananishwa na bingwa wa zamani asiyepingika duniani, Lennox Lewis, alimpiga Emanuele Leo kwa KO raundi ya kwanza mapema mwezi huu na kama alitarajiwa, ameshinda pambano la pili dhidi ya bondia wa Melton Mowbray, Butlin.
Next up: Joshua heads to York Hall next and will top the bill on November 14
Going down: Blood pours from Paul Butlin's eyes in the second round
Performance: Joshua has now won two out of two at professional level
Here's your winner: Joshua is led away with Butlin on the floor just 30 seconds into the second round
Momentum: Olympic gold medalist Joshua has made a promising start to his pro career
0 comments:
Post a Comment