// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 'MTUMISHI WA MUNGU' ALIVYOCHANGIA USHINDI WA YANGA JANA KAITABA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 'MTUMISHI WA MUNGU' ALIVYOCHANGIA USHINDI WA YANGA JANA KAITABA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, October 13, 2013

    'MTUMISHI WA MUNGU' ALIVYOCHANGIA USHINDI WA YANGA JANA KAITABA

    Father wa seminari ya Ntungamo, Bukoba, (kulia) akiwa kwenye benchi la Yanga kabla ya kuanza kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu hiyo ya wenyeji Kagera Sugar Uwanja wa Kaitaba, Bukoba jana. Father huyo alionyesha mapenzi makubwa kwa Yanga na kuiombea dua ishinde. Alikuwa mnyonge sana Kagera Sugar waliposawazisha bao na akawa mwenye furaha kubwa Yanga SC walipopata bao la ushindi. Yanga SC walikuwa wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Ntungamo kabla ya mechi hiyo.
    Hapa Father anatoa baraka zake kwa Meneja wa Yanga SC, Hafidh Saleh kabla ya mechi 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 'MTUMISHI WA MUNGU' ALIVYOCHANGIA USHINDI WA YANGA JANA KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top