// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MOURINHO AMSHUSHA THAMANI BEKI WA ENGLAND YA KOMBE LA DUNIA, AMKUMBATIA 'KIBABU TERRY' - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MOURINHO AMSHUSHA THAMANI BEKI WA ENGLAND YA KOMBE LA DUNIA, AMKUMBATIA 'KIBABU TERRY' - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Saturday, October 19, 2013

        MOURINHO AMSHUSHA THAMANI BEKI WA ENGLAND YA KOMBE LA DUNIA, AMKUMBATIA 'KIBABU TERRY'

        KOCHA Jose Mourinho amesema kwamba John Terry anaweza kuwa amestaafu mapema mno kuchezea timu ya taifa ya England, huku akithibitisha Gary Cahill, mbadala wake katika kikosi hicho ataendelea kusubiri Chelsea kwa mkongwe huyo.
        Terry alistaafu timu ya taifa miezi 13 iliyopita, siku chache kabla ya FA kumkuta na hatia ya kumfanyia vitendo vya kibaguzi Anton Ferdinand. 
        Cahill amejihakikishia namba katika kikosi cha kwanza Roy Hodgson, lakini Mourinho anampa nafasi Terry kucheza pamoja na David Luiz katika ukuta wa Chelsea. Inamaanisha Cahill anaiweka rehani nafasi yake ya kuwamo katika kikosi cha England kitakachokwenda Brazil kwenye Fainali za Kombe la Dunia kwa kusugua benchi kuanzia leo mechi na Cardiff.

        Chaguo la pili: Gary Cahill bado hana nafasi kikosi cha kwanza Chelsea

        "Kama ningekuwa mchezaji wa mpira, ningesubiri timu ya taifa wasema: "Hatukuhitaji tena", alisema Mourinho. "Lakini hizo ni hisia zanu binafsi. NingesubiriI, kwa ukweli. Lakini alikuwa ana sababu za kumsukuma kuchukua uamuzi huo,". 
        Strength in depth: Jose Mourinho manages one of the strongest squads in Europe
        Anajenga timu: Jose Mourinho anaongoza moja ya vikosi vya nguvu Ulaya
        John Terry
        David Luiz
        Chaguo la kwanza: John Terry na David Luiz ndio chaguo la kwanza la Mourinho
        Former England captain: Terry succeeded David Beckham as captain of the Three Lions
        Nahodha wa zamani England: Terry alirithi beji ya Unahodha England kutoka kwa David Beckham
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MOURINHO AMSHUSHA THAMANI BEKI WA ENGLAND YA KOMBE LA DUNIA, AMKUMBATIA 'KIBABU TERRY' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry