KWA pamoja wanawekewa ulinzi na mabeki wa timu pinzani, na sasa imketokea wote wawili wanakamatwa na trafiki akiwa na mchezaji mwenzake wa Chelsea, Juan Mata.
Nyota huyo wa Hispania alikwenda kula chakula cha mchana katikati ya London akiwa na mchezaji mwenzake wa klabu hiyo na timu ya taifa, Fernando Torres wakati wanakutwa na kasheshe hilo kutoka na kupaki vibaya gari lao.
Suala hilo likatatuliwa mara moja na Mata akawa mwenye furaha sana kupozi kwa ajili ya kupiga picha na trafiki aliyemtia mikwara ambaye ndiye aliyevujisha picha hizo.
Wawili hao walikuwa katika mgahawa wa Jak’s restaurant Mtaa wa Walton.
In the frame: Mata was more than happy to pose for a snap with the warden
Dinner date: Mata and Torres had been enjoying lunch at Jak's on Walton Street
Just the ticket: Mata was pictured using the ticket machine
0 comments:
Post a Comment