KIJANA aliyekuwa bonge sana kiasi cha kutaka kujiua kwa kuchukia mwili wake wa unene amefanikiwa kupunguza uzito wa manyama uzembe hadi sasa kuitwa 'Bwana Misuli'.
Mike Waudby alikuwa bonge akiwa na umri wa miaka 21 na alipofikisha umri wa miaka 29 akaamua kupambana na mwili huo kwa mazoezi makali gym.
Morbidly ambaye wengi wanamuita Mike alikuwa anakerwa sana na manyama uzembe yake kiasi cha kujiovedozi kuounguza maumivu.
Alishindwa kujimudu: Mike alikuwa bonge manyama uzembe kiasi hiki na kuishia kulewa pombe alizokuwa anaagiza kwa intaneti kupunguza mawazo
Hatimaye kidume: Mwalimu mtaalamu wa mazoezi kutoka Hull, Yorks amefanikiwa kuondoa umbo la manyama uzembe ndani ya miezi 18 na sasa anaitwa Bwana Misuli
Lakini baada ya kuepuka kutaka kujua Mike, kutoka Hull East Yorks,tangu wakati huo amefanikiwa kupunguza zaidi ya nusu mwili wake na uzito kwa ujumla kwa mazoezi.
Sasa mwalimu mtaalamu wa mazoezi anayekwenda kwa jina la utani Bwana Misuli, Mike, akiwa na umri wa miaka 31, anawataka wengine kutofikia katika hatua aliyokuwa yeye ya umanyama uzembe. Dawa ni mazoezi na kuacha uvivu.
Kabla na baada: Kushoto, Mike wa manyama uzembe na kulia Mike Bwana Misuli
Mike, sasa kijana mwenye mvuto wa kiume, mweny misuli na nguvu
0 comments:
Post a Comment