Hata hivyo baada ya jitihada za hapa na pale, kijana aliyekuwa na ufunguo alitokea akamfungulia Mheshimiwa Makala |
Mwenyekiti wa Yanga SC, Yussuf Manji kulia akizungumza na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo, Abdallah Bin Kleb, katika eneo la VIP A, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. |
Tishio la Jiji; Kutoka kulia Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Mussa Katabaro, Abdallaha Bin Kleb na Seif Ahmed 'Magari' |
Mheshimiwa Makala alisalimiana na Manji baada ya kuingia uwanjani |
Menyekiti wa Chama cha Soka (Tabora), Yussuf Kitumbo akimsalimia Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, DK Ramadhani Dau, Kulia ni Wakili Said El Maamry |
Hans Poppe akiingia Uwanja wa Taifa kwa kujiamini kabisa |
Kulia Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uendelezaji wa jengo dogo la Yanga SC liliopo Mtaa wa Mafia, Ridhiwani Kikwete katikati |
Mwenyekiti wa klabu ya Azam FC, Sheikh Said Mohamed |
Ofisa Habari wa Simba SC, Ezekiel Kamwaga akiingia Uwanja wa Taifa na vazi la Wekundu wa Msimbazi |
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mdenmark Kim Poulsen kulia akiwa na kocha wa timu za vijana, Mdenmark mwenzake, Jacob Michelsen |
Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Mfaransa Patrick Liewig akiwa Uwanja wa Taifa leo |
0 comments:
Post a Comment