MSHAMBULIAJI Javier Hernandez 'Chicharito' ametokea benchi leo na kuifungia bao la ushindi kwa kichwa timu ya David Moyes, Manchester United dhidi ya Stoke Uwanja wa Old Trafford.
Stoke walitangulia kupata bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Crouch dakika ya nne na Robin van Persie akaisawazishia United dakika ya 43, kabla ya Arnautovic kuwafunga la pili Mashetani Wekundu dakika ya 45.
Wayne Rooney akaisawazishia United dakika ya 78, kabla ya Hernandez aliyetokea benchi dakika ya 68 kuchukua nafasi ya Cleverley kufunga la ushindi dakika ya 80.
Kikosi cha United kilikuwa: De Gea, Smalling/Valencia dk76, Jones, Evans, Evra, Carrick, Cleverley/Hernandez dk68, Nani/Januzaj dk58, Rooney, Kagawa na Van Persie.
Stoke: Begovic, Cameron, Shawcross, Huth, Pieters, Nzonzi, Palacios/Whelan dk70, Walters, Ireland/Adam dk82, Arnautovic/Wilson dk49 na Crouch.

Turnaround: Wayne Rooney started the comeback with a glancing header
Relief: David Moyes cheers after the turnaround is completed
What a start: Peter Crouch put Stoke into a shock lead after just four minutes
Powerless: It was a tough day for United, especially David De Gea (left) and Moyes
Tumble: Adnan Januzaj made an impact when he came on as a sub
Shocked: Sir Alex Ferguson watched on at Old Trafford
Giant leap: Javier Hernandez gets up to head home Manchester United's winner with ten minutes to go
Tussle: Wayne Rooney battles for the ball with Geoff Cameron of Stoke
Special way: Fans would have been optimistic before the game
Physical: Shinji Kagawa tries to evade the tackle of Wilson Palacios
0 comments:
Post a Comment