DROO YA ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND
Leicester v Man City
Stoke City v Man United
Sunderland au Southampton v Chelsea
Tottenham v West Ham
Mechi zitachezwa Desemba 16, mwaka huu
KLABU ya Tottenham itamenyana na West Ham katika Robo Fainali za Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One wakitakiwa kulipa kisasi cha kufungwa mabao 3-0 katika Ligi Kuu mwezi huu.
Spurs ilipigana na kutoka nyuma kwa mabao 2-1 katika dakika za nyongeza na kuipiga Hull Jumatano mabao 8-7 kwa mikwaju ya penalti.
Katika mechi nyingine za hatua hiyo ya michuano hiyo, Manchester United itasafiri hadi Stoke wakati Manchester City itamenyana na Leicester.
Mauling: West Ham thrashed Tottenham in the Premier League earlier this month
Edgy: Tottenham celebrate beating Hull in a penalty shoot-out to progress to the last eight
City haijatwaa taji hilo tangu mwaka 1976 walipoifunga Newcastle 2-1, na walika The Magpies waliotolewa na timu hiyo katika Raundi ya Nne Jumatano, mabao ya Alvaro Negredo na Edin Dzeko Uwanja wa St James Park.
Kept apart: Manchester United (above) and Manchester City both face trips away in the quarter-finals
Chelsea, beaten semi-finalists last year, are also on the road, but will have to wait until next Wednesday to discover their opponents.
Timu ya Jose Mourinho, Chelsea iliyoitoa Arsenal kwa mabao 2-0 Jumanne itamenyana na Sunderland au Southampton.
0 comments:
Post a Comment