// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MALINZI RAIS MPYA TFF? NYAMLANI AONDOKA UKUMBINI MAPEMAAA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MALINZI RAIS MPYA TFF? NYAMLANI AONDOKA UKUMBINI MAPEMAAA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, October 27, 2013

    MALINZI RAIS MPYA TFF? NYAMLANI AONDOKA UKUMBINI MAPEMAAA

    Mgombea Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika uchaguzi unaoendelea kwenye ukumbi wa NSSF Water Front mida hii, Athumani Nyamlani akiondoka zake kabla ya matokeo kutangazwa. Nyamlani alisema anakwenda kula, lakini habari kutoka ndani ya ukumbi wa Mkutano zinasema mpinzani wake Jamal Malinzi ameshinda kwa kishindo. Matokeo rasmi yanatarajiwa kutangazwa baadaye usiku huu. 

    Nyamlani akisindikizwa na wapambe wake kuondoka ukumbini

    Akisalimiana na wadau

    Alikuwa akisema asante akiambiwa pole na hongera

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MALINZI RAIS MPYA TFF? NYAMLANI AONDOKA UKUMBINI MAPEMAAA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top