// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAKAMU WA RAIS DK BILAL, RAIS WA ZANZIBAR WAONGOZA SAFARI YA MWISHO YA BABA YAKE WEMA SEPETU KISIWANI ZANZIBAR LEO... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAKAMU WA RAIS DK BILAL, RAIS WA ZANZIBAR WAONGOZA SAFARI YA MWISHO YA BABA YAKE WEMA SEPETU KISIWANI ZANZIBAR LEO... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, October 30, 2013

    MAKAMU WA RAIS DK BILAL, RAIS WA ZANZIBAR WAONGOZA SAFARI YA MWISHO YA BABA YAKE WEMA SEPETU KISIWANI ZANZIBAR LEO...


     Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Balozi Issac Abraham Sepetu,ukitemshwa katika kaburi wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya  Magharibi Unguja leo.
     Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein. akisalimiana na Padri wa Kanisa Katoliki la Minara miwili Mjini Zanzibar Cosmas Amani Shayo,  alipowasili katika eneo la Mazishi ya Marehemu Balozi Issac Abraham Sepetu,yaliyofanyika kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya  Magharibi Unguja leo.
      Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa na viongozi wengine akiwemo Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK.Mohamed Gharib Bilali,katika Mazishi ya Marehemu Balozi Issac Abraham Sepetu,yaliyofanyika kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya  Magharibi Unguja leo
      Jeneza la Marehemu Balozi Issac Abraham Sepetu,likiwa limebebwa na Askari Polisi na kulifikisha katika kaburi lake yalipofanyika mazishi kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya  Magharibi Unguja leo.
     Padri wa Kanisa Katoliki la  Minara miwili Mjini Zanzibar Cosmas Amani Shayo, akiuombea mwili wa marehemu Balozi Issac Abraham Sepetu,wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya  Magharibi Unguja leo. Picha zote kutoka Sufiani Mafoto Blog
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS DK BILAL, RAIS WA ZANZIBAR WAONGOZA SAFARI YA MWISHO YA BABA YAKE WEMA SEPETU KISIWANI ZANZIBAR LEO... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top