Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga SC, Wakili Imani Omar Madega (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa sasa wa klabu hiyo, Alhaj Yussuf Manji kushoto juzi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati timu yao ikimenyana na watani wa jadi, Simba SC na kutoa sare ya 3-3. Madega anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti katika uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) mwishoni mwa wiki Dar es Salaam akichuana na Wallace Karia na Ramadhani Nassib. Klabu za Ligi Kuu pia zinapiga kura katika uchaguzi huo. Je, Manji atampa kura Madega? |
0 comments:
Post a Comment