Mchezaji wa tum ya Mafunzo Dela akidaka mpira mbele ya walinzi wa Timu ya Magereza katika ligi ya Netboll ya Muungano iliyofanyika kiwanja cha Jimkana Mjini Zanzibar jana.Mafunzo ilishinda 51 kwa 39.
Rais wa Chaneta Bi. Anna Kibira akizungumza na wachezaji mara baada ya kumaliza kwa ligi ya Muungano iliyofanyika Jimkana Mjini Zanzibar jana. Kushoto mgeni Rarmi Mkuu wa Wilaya Mjini Unguja Abdi Muhmud na katikati Rais wa Chaneza Bi. Rahma Ali Khamis.
Mkuu wa Wilaya Mjini Unguja Abdi Muhmud Mzee akimkadhi Kombe kepteni wa Timu ya Mafunzo Elizabeth John mara baada ya kumaliza mchezo wake na Magereza na kuchukua nafasi ya pili ya ligi ya Muungano iliyofanyika kiwanja cha Jimkana Mjini Zanzibar jana.
|
0 comments:
Post a Comment