// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KIONGOZI YANGA SC ATUA BUKOBA NA BEGI JEUSI, YADAIWA LINA FEDHA ZA ZAWADI KWA WACHEZAJI WAKISHINDA LEO KAITABA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KIONGOZI YANGA SC ATUA BUKOBA NA BEGI JEUSI, YADAIWA LINA FEDHA ZA ZAWADI KWA WACHEZAJI WAKISHINDA LEO KAITABA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, October 12, 2013

    KIONGOZI YANGA SC ATUA BUKOBA NA BEGI JEUSI, YADAIWA LINA FEDHA ZA ZAWADI KWA WACHEZAJI WAKISHINDA LEO KAITABA

    Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Mussa Katabaro akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Bukoba muda mfupi uliopita na begi jeusi ambalo mara nyingi hutunziwa fedha kwa ajili ya kuja kuongeza nguvu kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu hiyo na wenyeji Kagera Sugar jioni ya leo Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Inaelezwa wachezaji wa Yanga wameahidiwa donge nono iwapo watashinda mechi hiyo na mzigo ndiyo huo katua nao Katabaro Bukoba.

    Katabaro akitua na begi jeusi linalodaiwa kuwa na fedha za zawadi kwa wachezaji wa Yanga wakishinda mechi ya leo

    Katabaro akiwa ametulia kwenye ndege

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIONGOZI YANGA SC ATUA BUKOBA NA BEGI JEUSI, YADAIWA LINA FEDHA ZA ZAWADI KWA WACHEZAJI WAKISHINDA LEO KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top