- Kilimanjaro Premium Lager inawakaribisha kushuhudia Bonanza kubwa la aina yake Jumapili hii tarehe 27 October!,Kuanzia saa nne Asubuhi. Mashabiki wa timu hizi kubwa Tanzania watashindana katika michezo mbalimbali kama vile;
Kuvutana kamba!!.
Foos Ball!!
Soka la wachezaji saba kila upande aka “Seven aside” nk,
Ø Myama Choma na Burudani nyingine nyingi zitakuwepo…
- Mkoani Mwanza; Bonanza la Kili Nani Mtani Jembe litafanyika katika uwanja wa Polisi Mabatini!!. Kutumbuiza jukwaani watakuwepo Sebedack Music Band… wana Kusebeduka!..
- Mkoani Arusha; Bonanza la Kili Nani Mtani Jembe litafanyika katika viwanja vya General Tyre!!. Jukwaani watakuwepo…The Aqua Band!..
- Mkoani Mbeya; Bonanza la Kili Nani Mtani Jembe litafanyika katika uwanja wa Chuo cha Uhasibu!!. jukwaani burudani kutoka kwa wana Mtipe Mtipe Music Band… wazee wa misumari!..
0 comments:
Post a Comment