Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya MCL akifungua hafla ya ukabidhi wa zawadi kwa washindi wa shindano la Chomoka na Mwananchi, shughuli iliyofanyika katika makao makuu ya kampuni ya mwananchi, wachapishaji wa magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen
Mkurugenzi wa kampuni ya MCL, Tido Mhando, akimkabidhi ufunguo wa gari, mshindi wa gari Bw Benedict Mgoo kutoka Dodoma, anayeshuhudia ni mke wa mshindi huyo Bi Fortunata
Bw benedict, akifungua gari lake huku akishuhudiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited
..hapa akiwa ndani ya gari na Familia yake
Hapa akitoa ushuhuda kwa wanahabari
Hapa Bw benedict akijibu maswali ya wanahabari
Hii ni picha ya Bw benedict akiwa na wanafamilia waliomsindikiza kwenda Mwananchi kupokea zawadi yake
Meneja
Maendeleo ya Biashara wa Mwananchi
Communication Limited (MCL), Theophil Makunga akimkabidhi hundi ya Shilingi Milioni moja Mshindi wa
Promosheni ya Chomoka na Mwananchi, Benedict Masija Mkazi wa Kigamboni jijini
Dar es Salaam
Afisa
Mwendeshaji Mkuu wa Mwananchi Communication Limited (MCL) Francis Nanai, akimkabidhi
hundi ya Shilingi Milioni moja mshindi wa promosheni ya Chomoka na Mwananchi, Cletus Mubezi Mkazi wa
Temeke jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi
Mtendaji wa Mwananchi Communications
Limited(MCL),Tido Mhando(kushoto) akimkabidhi hundi ya Shilingi Milioni moja Mshindi wa
Promosheni ya Chomoka na Mwananchi, Dk Andrew Lwali Mkazi wa Kibaha mkoa wa Pwani
Mhariri
Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi ,Dennis
Msacky (kushoto)akimkabidhi hundi ya Shilingi Milioni moja mshindi wa Promosheni ya Chomoka na Mwananchi, Edna Maro Mkazi wa
Tegeta jijini Dar es Salaam
Mhariri
Mtendaji Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited(MCL)Bakari Machumu akimkabidhi hundi ya Shilingi Milioni moja mshindi wa Promosheni
ya Chomoka na Mwananchi, Stephen Shembata
Mkazi wa Tegeta jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi
Mtendaji wa Mwananchi Communications
Limited(MCL),Tido Mhando(kushoto) akimkabidhi hundi ya Shilingi Milioni moja Mshindi wa
Promosheni ya Chomoka na Mwananchi ,Mashaka Msuya Mkazi wa Buguruni jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi
Mtendaji wa Mwananchi Communications
Limited(MCL),Tido Mhando akimkabidhi hundi ya Shilingi Milioni moja Mshindi wa
Promosheni ya Chomoka na Mwananchi, Levina Nyambo Mkazi wa Mabibo jijini Dar es Salaam
Washindi wote kwa pamoja wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa MCL
0 comments:
Post a Comment