// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); GARETH BALE NJE LEO REAL MADRIDI IKIPIGANA ULAYA, MAN UNITED NAYO KUMKOSA RIO DHIDI YA SHAKHTAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE GARETH BALE NJE LEO REAL MADRIDI IKIPIGANA ULAYA, MAN UNITED NAYO KUMKOSA RIO DHIDI YA SHAKHTAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, October 02, 2013

    GARETH BALE NJE LEO REAL MADRIDI IKIPIGANA ULAYA, MAN UNITED NAYO KUMKOSA RIO DHIDI YA SHAKHTAR

    IMEWEKWA OKTOBA 2, 2013 SAA 12:22 ASUBUHI
    WINGA Gareth Bale ataukosa mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya FC Copenhagen kutokana na tatizo lake la majeruhi kuendelea katika maisha yake mapya Real Madrid.
    Mchezaji huyo ghali duniani alifanya mazoezi peke yake gym jana, wakati wachezaji wenzake wengine wakijiandaa na mechi hiyo ya Kundi B na hakutajwa katika kikosi cha kocha Carlo Ancelotti.
    Ilitarajiwa kocha huyo Mtaliano angemrejesha kikosini baada ya kipigo cha mwishoni mwa wiki kichoifanya sasa Real Madrid izidiwe pointi tano na Barcelona katika ligi ya kwao.
    Out: Gareth Bale will have to wait for his first start in the Champions League for Real Madrid
    Nje: Gareth Bale ataukosa mchezo wa leo wa Real Madrid katika Ligi ya Mabingwa
    Concern: The winger has struggled with a thigh problem in recent weeks
    Uangalizi: Winga amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya misuli ya paja siku za karibuni

    Lakini Bale hayuko tayari kuitikia wito wa kocha wake, kutokana na maumivu ya misuli ya paja la kushoto aliyoyapata siku 11 zilizopita wakati akipasha misuli moto kwa ajili ya mechi dhidi ya Getafe na kumfanya aondolewe kikosi cha kwanza.
    Re-think: Carlo Ancelotti will now have to consider his options... but at least he has Cristiano Ronaldo (below)
    Anafiiri mara mbili: Kocha Carlo Ancelotti atalazimika kufikiri kwa kina, angalau anaye Cristiano Ronaldo (chini)
    Re-think: Carlo Ancelotti will now have to consider his options... but at least he has Cristiano Ronaldo (below)
    Bale na Cristiano Ronaldo katika moja ya mechi za timu hiyo

    Naye beki Rio Ferdinand ataukosa mchezo wa timu yake, Manchester United dhidi ya Shakhtar Donetsk kutokana na maumivu ya nyonga.
    Lakini kocha wa United, David Moyes amemtukuza mshambuliaji Robin van Persie kama mchezaji bora zaidi kuwahia kufanya naye kazi.
    "Tumewaacha wachezaji au mmoja,"alisema Moyes. "Rio Ferdinand, Anderson, Fabio na Wil Zaha hawapo nasi. Sijawahi kumtumia Rio popote, lakini amepata matatizo ya nyonga. Si makubwa,".
    Out: Moyes confirmed that Rio Ferdinand would not travel to Ukraine
    Nje: Moyes amethibitisha Rio Ferdinand hatasafiri kwenda UkraineUpbeat: Wayne Rooney and Robin van Persie share a joke during Manchester United training
    Wa mbele tishio: Wayne Rooney na Robin van Persie wakitaniana wakati wa mazoezi ya Manchester United jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: GARETH BALE NJE LEO REAL MADRIDI IKIPIGANA ULAYA, MAN UNITED NAYO KUMKOSA RIO DHIDI YA SHAKHTAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top