// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BRADLEY AMTWANGA MARQUES KWA POINTI, SASA AMTAKA MAYWEATHER - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BRADLEY AMTWANGA MARQUES KWA POINTI, SASA AMTAKA MAYWEATHER - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, October 13, 2013

    BRADLEY AMTWANGA MARQUES KWA POINTI, SASA AMTAKA MAYWEATHER

    Retained: Timothy Bradley shouts to his fans after being awarded the WBO welterweight title on points
    Bado bingwa: Bondia Timothy Bradley wa Marekani akisherehekea baada ya kupewa taji la ubingwa wa dunia wa WBO uzito wa Welter, baada ya kumpiga kwa pointi Juan Manuel Marquez wa Mexico usiku wa kuamkia leo mjini Las Vegas. Taji hilo alilitwaa mwaka jana baada ya kumshinda kwa utata Manny Pacquiao. Jaji mmoja tu alimpa ushindi Marquez wa pointi, 116-112 na wengine wakatoa  115-113 kwa Bradley ambaye sasa ana uhakika mpinzani wake ajaye atakuwa mfalme wa ndondi dunian, Floyd Mayweather Jnr.
    Damage: Bradley unleashes a right hook which catches Marquez on the cheek
    Bradley akimuadhibu Marquez
    Struggling: Marquez's hair goes flying as he can't avoid Bradley's vicious hands
    Marquez alishindwa kihalali
    Champion: Bradley fought a mature fight, convincing two of the three judges he deserved the win
    One of the world's best: It is now 31 fights unbeaten for the American
    Mmoja wa walio bora duniani: Sasa ametimiza mapambano 31 bila kupigwa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BRADLEY AMTWANGA MARQUES KWA POINTI, SASA AMTAKA MAYWEATHER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top