// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ASHANTI UNITED ILIVYOWAKALISHA MAAFANDE WA MAGEREZA LEO CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ASHANTI UNITED ILIVYOWAKALISHA MAAFANDE WA MAGEREZA LEO CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, October 16, 2013

    ASHANTI UNITED ILIVYOWAKALISHA MAAFANDE WA MAGEREZA LEO CHAMAZI

    Lusajo Mwakyusa wa Ashanti United akimuweka chini kiungo wa Prisons ya Mbeya, Omega Seme katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Ashanti ilishinda 2-1.

    Hussein Swedi wa Ashanti United akipasua katikati ya mabeki wa Prisons

    Beki Salum Mashaka wa Prisons akipambana na Joseph Mahundi wa Ashanti

    Joseph Mahundi wa Ashanti akitaabika katikati ya wachezaji wa Prisons

    Beki wa Prisons akiosha dhidi ya Joseph Mahundi wa Ashanti

    Jaffar Gonga wa Ashanti akimtoka beki wa Prisons

    Paul Maona wa Ashanti akipiga hewa baada ya beki wa Prisons kumuwahi kuokoa mpira

    Kocha wa Prisons, Jumanne Challe akizungumza na wachezaji wake

    Mshambuliaji wa Ashanti, Said Maulid 'SMG' kulia leo alikuwa jukwaania kabisa

    Mashabiki wa Ashanti

    Kocha Msaidizi wa Ashanti, Kali Ongala akifuatilia mechi hiyo

    Kikosi cha Ashanti United leo

    Kikosi cha Prisons leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ASHANTI UNITED ILIVYOWAKALISHA MAAFANDE WA MAGEREZA LEO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top