// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC ILIVYOKAMATWA NA WAJELAJELA SOKOINE LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC ILIVYOKAMATWA NA WAJELAJELA SOKOINE LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, September 18, 2013

    YANGA SC ILIVYOKAMATWA NA WAJELAJELA SOKOINE LEO

    IMEWEKWA SEPTEMBA 18, 2013 SAA 2:56 USIKU
    Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akiwatoka mabeki wa Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Timu hizo zilitoka 1-1.

    David Luhende akimtoka beki wa Prisons

    Ilikuwa shughuli pevu Sokoine leo

    Said Bahanuzi akituliza mpira gambani mbele ya wachezaji wa Prisons, huku Simon Msuva akigaagaa chini

    Didier Kavumbangu akimtoka beki wa Prisons

    Jerry Tegete akiwania mpira dhidi ya wachezaji wa Prisons

    Kipa wa Prisons akiwa juu kudaka mpira

    Beki wa Prisons akimkwatua Mbuyu Twite wa Yanga SC 

    Beki wa Prisons akiosha mpira pembeni ya Jerry Tegete

    Simon Msuva akipenyeza shuti katikati ya wachezaji wa Prisons

    Beki wa Prisons wakienda hewani kupiga mpira kichwa dhidi ya Haruna Niyonzima wa Yanga SC

    Kikosi cha Yanga SC leo

    Kikosi cha Prisons leo

    Askari Polisi na Magereza wakishirikiana kulinda basi la Yanga lisishambuliwe kama Jumamosi kwenye mchezo na Mbeya City

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOKAMATWA NA WAJELAJELA SOKOINE LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top